Mentors Day Mtwara and Lindi

Mentors Day Mtwara and Lindi

By In Blog, News On June 24, 2016


Hafla fupi ya walezi wa Kibiashara iliyofanyika mkoa wa Mtwara 23/06/2016 hoteli La Ville Nouvelle na Lindi  24/06/2016 hoteli Double M kwa malengo ya kukutanisha walezi wa kibiashara walioko katika progaramu ya Kijana Jiajiri kwa ajiri ya kubadilishana uzoefu na kujadili changamoto kwenye malezi ya Kibiashara kwa vijana wetu.


About the Author

Mwasiti

Leave a comment