Download

Je wewe ni Kijana wa umri kati ya miaka 18-35? Unaishi mkoa wa Dar es salaam? Una ndoto za kufanikiwa maisha kwa njia ya biashara?

Kama umetimiza vigezo hivyo pakua fomu hii ijaze na kuirudisha katika ofisi za SIDO mkoa wa Dar es salaam kabla ya tarehe 07/08/2015 Fomu ya Maombi MKOA WA DAR ES SALAAM

Application form ( Form ya Maombi ya kujiunga na KijanaJiajiri)

Fomu ya Maombi KJ


Kijana Jiajiri Rolling Calendar Kijana Jiajiri Rolling Calendar